Majibu ya maswali ya kawaida kuhusu huduma zetu.
Tunatoa huduma kumi za ulinzi na usalama, zikiwemo walinzi binafsi (bodyguards), huduma za dharura, ushauri wa ulinzi, teknolojia na vifaa vya ulinzi, mbwa wa ulinzi, na mafunzo ya kitaalamu kwa walinzi.
Wateja wetu wakuu ni maeneo ya Serikali na biashara binafsi za watu binafsi, zikiwemo ofisi, maduka, benki, viwanda na kumbi za matukio.
Mivumoni, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania.
Eagle Emergency Security Ltd ilianzishwa Oktoba 2026.
Tumia fomu ya Omba Bei kwenye ukurasa wa Wasiliana, au piga simu +255 762 483 386. Bei inategemea aina ya huduma na eneo.
Ndiyo. Tunatoa mafunzo kwa walinzi na taasisi kuhusu ulinzi na usalama.
Tuambie unahitaji ulinzi wa aina gani, nasi tutakupa ushauri na bei.