Huduma za uajiri na mafunzo.
TUNACHOFANYA
Tunatoa huduma za uajiri na mafunzo kwa makampuni na taasisi zinazohitaji watumishi wa ulinzi waliofunzwa.
HUDUMA NYINGINE
Tuambie unahitaji ulinzi wa aina gani, nasi tutakupa ushauri na bei.