Mafunzo ya kitaalamu kwa walinzi wa ulinzi na usalama.

TUNACHOFANYA
Tunatoa mafunzo ya kitaalamu kwa walinzi ili wawe na ujuzi na nidhamu inayohitajika katika kazi ya ulinzi na usalama.
Tuambie unahitaji ulinzi wa aina gani, nasi tutakupa ushauri na bei.